Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe wakiwa wamebeba shada la maua tayari kuliweka katika kaburi la
mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe, marehemu Linah George Mwakyembe, katika mazishi
yaliyofanyika makaburi ya familia katika kijiji cha Ikolo wilayani
Kyela mkoani Mbeya hii leo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, sanaa
na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiweka shada la maua katika
kaburi la marehemu mkewe, Linah George Mwakyembe.
Jeneza lenye mwili wa mke wa Waziri
wa Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe,
marehemu Linah George Mwakyembe likiandaliwa kushushwa kaburini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (
kulia ), Mkuu wa mkoa Mbeya, Mhe. Amos Makalla na mke wa Waziri Mkuu
wakifuatilia shughuli za mazishi ya mke wa Waziri wa Habari,
Utamaduni, sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, marehemu Linah
George Mwakyembe, katika kijiji cha Ikolo wilayani Kyela mkoani Mbeya.
No comments:
Post a Comment