Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Salum Mayanga
ametanga kikosi cha wachezaji kwa ajili ya kuingia kambini kwa ajaili
ya mechi dhidi ya Lethoto ya kuwania kufuzu kucheza fainali za AFCON
juni 10.
Wachezaji walioitwa ni wafuatao. Aishi Manula wa Azam FC, Beno
Kakolanya wa Yanga na Said Mohamed wa Mtibwa Sugar hao ni kwa upande
wa walinda mlango
.
walinzi(mabeki) Shomari Kapombe toka Azam FC, Hassan Hamisi toka
Yanga, Mwinyi Haji toka Yanga , Mohamed Hussein toka Simba , Salim
Mbonde toka Mtibwa Sugar Agrey Morris toka Azam FC, Abdi Banda toka
Simba na Erasto Nyoni toka Azam FC.
Viungo: Thomas Ulimwengu toka AFCE ya Sweden,Farid Musa
anayeichezea Tenerife ya Hispania, Himid Mao toka Azam FC , Jonas
Mkude toka Simba , Salum Abubakar toka Azam FC, Said Hamisi Ndemla
toka Simba, Mzamiru Yassin toka Simba, Simon Msuva toka Yanga ,
Shiza Kichuya toka Simba,
Upande wa washambuliaji,Mbwana Samatta anayeichezea KRC Genk ya
Ubelgiji,Mbaraka Yusuph toka Kagera Sugar, Ibrahim Ajib toka Simba
na Abdulrahman Musa wa Ruvu Shooting,
No comments:
Post a Comment