Fid Q ameeleza kuwa hawezi kuwa mtu wa kuhukumu kwa kile mtu
anachokifanya au anachokiwaza ,hii ameiongea kama msanii baada ya
msanii mwenzake Benpol kupiga picha akionesha sehemu kubwa ya mwili
wake ikiwa wazi.
Fid Q Ameyasema haya alipokuwa akizungumza na Mshilawadu Soud Brown na kufunguka kuwa
hajajua mpango kamili ya Benpol kwa sasa lakini anasubiri matokeo ya
mwisho kwa kile kinachoendelea kwenye mitandao.
Lakini kwa upande wake Benpol hakutaka kuwa wazi kwa sasa na
kusema ataliongelea suala hili wakati mwingine.
No comments:
Post a Comment