Wabunge
wameendelea kuuliza maswali na kuchangia mada kwenye vikao vya bunge
vinavyoendelea bungeni kwenye Bajeti ya Wizara ya Kilimo,Mifugo na
Uvuvi.
Baadhi
ya waliochangia ni kama Mtwara
Mjini "Maftaha Nachuma",alianza kwa kusema
“Failure to plan is a plan to fail”/“ukishindwa kupanga jambo
ni sawa na kuapnga kushindwa kufanikiwa kwenye jambo lako” .ni moja
ya nukuu ya mbunge wa
alipokuwa akichangia mada kwenye bunge la bajeti.
Alianza
kwa kupongeza serikali kwa kuwapa vipaumbele,wakulima wa korosho kwa
kuendelea kuweka utaratibu mzuri wa bei za korosha na imewasaidia
wananchi kuuza kwa bei nzuri.
Aliomba
pia ufafanuzi wa serikali kupitia wizara ya Kilimo Mifugo na
Uvuvi,serikali ina mkakati gani wa kusaidia wavuvi ukoje,vipi kuhusu
ahadi ya pembejeo kwa wakulima wa korosho ukanda wa kusini?.
Naye
mbunge wa Bukombe
“Dotto
Biteko”
alianza kwa kuishukuru serikali kwa kuendelea kutekeleza ahadi zake
kwa kuendelea kupunguza tozo zilizokuwa kero kwa wakulima.lakini pia
amehitaji serikali ameiomba serikali juu ya kuweza kuinua zao la
pamba,kwa kuweza kuwapelekea pembejeo za zao la pamba pamoja na mbegu
zitakazokuwa na tija.
No comments:
Post a Comment