Rais
Donald Trump amewasili nchini Saudi Arabia ambapo atakutana kwa
mazungumzo na mfalme wa nchi hiyo “Mfalme Salman “ kwenye
ziara,ambayo itakayohusisha mataifa kadhaa yakiwemo Izlael,baadhi ya
mataifa ya ulaya pamoja na Vatican atakakokwenda kuzunguza na Papa
Francis
Trump
ameambatana na mkewe “Melania” pamoja namwanae ambaye ndiye
mshauri mkuu wa ikulu ya marekani “Ivanka trump” akiwa na mumewe
“Jared Kushner”.
Lakini
kwa upande wa marekani mambo bado sio shwari ,kutokana na Rais wa
nchi hiyo Donald Trump kumfuta kazi mkurugenzi wa shirika la FBI
James Comey,ambapo kumeibua maswali
mengi na taharuki kubwa siku za hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment