Hii ni habari njema kwa mashabiki wa
soka la Bongo ni toka ya club ya Everton inayotarajiwa kutua uwanja
wa Taifa Dar es Salaam July 13 katika mchezo dhidi ya Bingwa wa
SportPesa Super Cup Gor Mahia ya Kenya.
Ambapo staa Wyne Rooney amesaini
Everton mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru akitokea ManUnited
ambayo amedumu nayo kwa miaka 13 baada ya kuondoka Everton mwaka
2004, kutokana na Rooney kujiunga na Everton tutarajie kumuona Taifa
katika mchezo wa maandalizi ya msimu dhidi ya Gor Mahia.
No comments:
Post a Comment