Waumini
wa Kiislam pamoja na waombolezaji wengine, wameshiriki kwenye Mazishi
ya Marehemu Shaaban Dede, katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es
salaam leo.
Ambapo walikuwepo ndugu, Jamaa na Marafiki wa
karibu wa Marehemu Shaaban Dede katika safari ya wmwisho ya nguli
huyo kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mbunge
wa Jimbo la Chalinze, Ridhwan Kikwete naye alikuwepo an aliweza
kuzungumza machache na Waandishi wa Habari katika maeneo ya Makaburi
ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Katibu
Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza
alitoa Salamu za Rambirambi kwa niaba ya Waziri wa Habari, Sanaa,
Utamaduni na Michezo, katika Mazishi hayo yaliyofanyika katika
Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment