Michezo ya CAF imeendelea kurindima
ambapo usiku wa june 10 2017,imepigwa michezo kadhaana moja kati ya
michezo ambayo imekuwa ikiangaliwa sana ni kati ya Taifa Stars na
Lethoto mchezo uliochezwa pale uwanja wa Azam Complex kuanzia majira
ya saa 20:00 usiku.
Mashabiki lukuki walihudhuria
wakiwa na hamasa ya kuona vijana wao wakifanya maaajabu,lakini
waaambulia kushuhudia vijana hao wa Taifa Stars wakitoshana nguvu na
vijana wa lethoto kwa mchezo kumalizika kwa sare ya mojamoja.
Goli la Stars lilifungwa kunako
dakika ya 31 ya mchezo na nahodha wa timu hiyo,na mshambuliaji wa KRC
Genk ya Ubelgiji,ambapo Lethoto wakarudisha goli hilo na kuufanya
mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya mojamoja.
No comments:
Post a Comment