Michuano
ya sport pesa cup,iliyoanza kurindima rasmi leo,jijini Dar es salaam
kwenye uwanja wa uhuru,ambapo pambano la kwanza lililoanza ni kati ya
“Singida United” na “AFC Leopard “ ya Kenya.
Mchezo
huu wa kwanza ulioanza kwa timu ya Singida United kuanza kwa
kujipatia bao la mapema,ambalo lilikuja kusawazishwa baadae na vijana
wa AFC leopardambapo mpaka dakika tisini zinamalizika matokeo
yalikuwa 1-1 .na hapo ndipo mikwaju ya penalti ilipoanza kupigwa.
Na
hapo mambo yakawawia vigumu vijana wa Singida United baada ya
kutolewa kwa jumla ya mikwaju 5-4,kwa maana hiyo Singida United
wameyaaga mashindano hayo na mchezo unaofuata ni kati ya Yanga na
Tusker ya Kenya.
No comments:
Post a Comment