Buguruni United leo walishuka
dimbani dhidi ya Misoso SC,ambapo walianza vizuri kwa kupata mabao
yao mawili ya haraka kipindi cha kwanza hadi mapumziko Misosi
walikuwa nyuma kwa Buguruni waliokuwa wakioza kwa magoli 2-1.
Kipindi cha pili Misosi wakaanza
kufanya kweli na kufanikiwa kusawazisha kisha kuongeza magoli mengine
matatu na kuibuka na ushindi. Mfungaji wa magoli ya Misosi Idd
Selemani ‘Ronaldo’ akiwa kwenye kiwango bora kilichomavutia kila
mtazamaji alieshuhudia mechi hiyo.
Magoli ya Buguruni United
yamefungwa na Sultan Kasikasi dakika ya 20 na 32,wakati Ronaldo wa
Misosi akipasia kambani mara tano kwenye dakika ya 34, 50 (kwa
penati), 61, 82 na 90+3
No comments:
Post a Comment