Baada ya kunyakua tuzo ya Bet kwa
kipengele cha Viewer’s Choice Best New International Act ,Rayvanny
kaendelea kukutana na mastaa kibao wanaobamba kwenye soko la muziki
marekani na duniani kote.
Ambapo kwa mara nyingine ameendelea
kuwa karibu na mkali Jason Derulo,ambaye wiki iliyopita walikuwa wote
kwenye Coke Studio wakipika kitu,na sasa wakati huu walikuwa kwenye
studio za mkali huyo wakitengeneza kitu special.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa
instagram Rayvanny amezidi kutanabaisha kwa kuwaambia mashabiki wakae
mkao wa kula kwa kuandika haya.
No comments:
Post a Comment