Mchezaji
wa klabu ya Tottenham Hotspurs ya Uingereza na kiungo wa timu ya
Taifa ya Denmark Christian Eriksen,ni miongoni mwa wachezaji ambao
waliamua kutembelea vivutio vya utalii nchini Tanzania kwenye kipindi
hiki cha mapumziko.
Mchezaji
Victor Wanyama ambaye ni star wa timu ya taifa ya Kenya, na klabu ya
Tottenham Spurs naye amewasili nchini Tanzania ili kufanya Utalii
kwenye maeneo tofautii,na amekuwa akiendelea kuposti picha kwenye
mitandao ya kijamii na kuweka wazi kila sehemu anayofika.
Hii
imekuja baada ya mda mfupi uliopita kuwaona watu mashuhuri kadhaa
waliowatangulia kuja kujionea vivutio vingi vinavyopatikana
Tanzania,akiwemo David Bekhamaliyekuja na familia yake na watu kadha
wa kadha.
No comments:
Post a Comment