Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro alikuwa Mgeni rasmi katika sherehe ya kufunga mafunzo ya
Maafisa wa Uhamiaji waliomaliza Kozi Namba Moja, sherehe
zilizofanyika Chuo cha Polisi Moshi, CCP.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchi IGP
Simon Sirro akiwa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna
Peter Makakala wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa
maofisa hao. Sherehe zimefanyika leo Chuo cha Polisi Moshi (CCP).
Kozi hiyo ilihusisha warakibu wasaidizi (ASP), wakaguzi wasaidizi,
meja, sajenti na koplo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchi IGP Simon Sirro akikagua gwaride la maofisa wa uhamiaji wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa hao, sherehe zimefanyika leo chuo cha polisi moshi CCP. Kozi hiyo ilihusisha warakibu wasaidizi (ASP), wakaguzi wasaidizi, meja, sajenti na koplo.
No comments:
Post a Comment