Michuano ya Sports Extra Ndondo Cup
ambayo inayoendelea kwa msimu wa nne sasa ambapo,huko kwenye uwanja
wa Mwl Nyerere uliyopo Magomeni ulichezwa mchezo mmoja wa Kundi E.
Kwenye uwanja wa Mwalim Nyerere
mchezo kati ya Mlalakuwa na Goroka FC mtinange ulionekana kuwa na
shamrashamra kwa kumalizika kwa Mlalakuwa kuondoka na point tatu kwa
ushindi wa magoli 4-0
Magoli ya Mlalakuwa yalifungwa na
Henry Mkongo dakika ya 16,Kigi Makassy akafunga goli la pili dakika
ya 26, dakika ya 86 Ayoub akapachika goli la tatu na Fakhi Hakika
kuipatia ushindi kwa kufunga goli la nne dakika ya 89 ya mchezo.
No comments:
Post a Comment