Baada
ya kukubali kipigo cha goli 2-0 toka kwa Tottenham Hotspurs, klabu ya
Arsenal zote za uingereza katika mchezo ligi kuu nchini humo washika
bunduki hao sasa wameangukia nafasi ya nne.
Ambapo
wababe wao hao,Totenham wakikamata nafasi ya pili,kwenye mchaka
mchaka wa kuelekea kwenye harakati za ubingwa wa ligi kuu ya
uingereza msimu huu.
Mchezo
wao ulichezwa pale uwanja wa “White Hart Lane” aidha magoli hayo
ya tottenham Hotspurs yaliwekwa kimiani na “Dele Alli pamoja na
Harry Kane“.
No comments:
Post a Comment