Timu ya Ruvu Shooting yapata ajali
wakiwa njiani maeneo ya manyoni singida baada ya kuhitimisha mchezo
wao dhidi ya "Stand United" mchezo wa kumaliza msimu wa 2016/17 wakiwa njiani kelekea nyumbani Pwani.
Bus la timu walilokuwa wakitumia
kusafiria lilipasuka tairi ya mbele na kuacha njia,kidogo kando mwa
barabara kuu
Lakini jambo zuri na la kumshukuru
Mungu ni kwamba Hakuna madhara yaliyojitokeza kwa mchezaji au mtu
yeyote,kwenye ajali hiyo
No comments:
Post a Comment