• DON'T MISS

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****
    RABA CLASSIC

    Sunday, 21 May 2017

    Serengeti Boys wanashuka dimbani dhidi ya Niger katika kuitafuta namba moja kundi B ,AFCON U17.

    Leo jumapili ya tarehe 21 may 2017,yanasubiriwa masaa kadhaa ambapo Timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana wa umri chini ya miaka 17,Serengeti boys kushuka dimbani dhidi ya Niger U17.

    Mchezo huo unatarajiwa kufanyika kwenye uwanja wa Port Gentil,kwa majira ya Afrika mashariki saa 20:30 usiku,mchezo ambao ni wa muhimu kwa Serengeti boy kwenye michuano hiyo ya AFCON U17 kwa kundi B.

    Lenye msimamo unaoonesha Mali u17 au mabingwa watetezi kushikilia usukani wakiwa sawa na Serengeti boys kwa kila kitu ambapo kila timu imeshikilia pointi 4 mkononi,huku Angola na Niger wakiwa na pointi moja moja ambao nao wamelingana uzani.

    No comments:

    Post a Comment