Timu ya
taifa ya Tanzania Taifa Stars imewasili salama nchini Misri ambako
imekwenda kuweka kambi ya muda wa wiki moja ili kujianda na mchezo
dhidi ya timu ya Lesotho.
Ambapo
pia makocha wa timu ya Taifa Stars walifanya majukumu yao kwa
kuendelea kukagua viwanja na maeneo ya gym ambayo wanatakuwa wanatumia kwaajili ya mazoezi wawapo Misri.
Timu hii
inaenda kuanza kambi hiyo huku ikiwakosa wachezaji wake kadhaa
ambao,mmoja wake akiwa ni nahodha wa Taifa Stars na mshambuliaji wa
KRC Genk ya Ubelgiji.
No comments:
Post a Comment