Timu ya taifa ya vijana wa Tanzania
chini ya miaka 17 “Serengeti Boys” imetoka sare ya bila kufungana
dhidi ya mabingwa watetezi Mali U17, kwenye mchezo wa michuano
ya AFCON U17.
Mchezo huu uliopigwa katika Uwanja wa l’Amitie Sino mjini Libreville nchini Gabon.
Baada ya matokeo haya Serengeti
Boys wanakuwa na pointi moja,na wakibakiwa na mechi mbili
watakazocheza dhidi ya Angola na Niger ambapo kama watapita hatua hii
wataingia hatua kwenye ya nusu fainali ya michuano hiyo.
No comments:
Post a Comment