BET 2017 imekuja na kuendeleza
mzunguko mzuri,kunako label ya WCB,ambapo Mkali toka label hiyo na
staa wa Bongofleva Rayvanny. ametajwa kuwania tuzo kwenye kipengele
cha Best International Views Choices.
Rayvanny amekuwa msanii pekee kutoka Tanzania kuwania tuzo hizo,na pekee kutoka Afrika kwenye kipengele alichopo akishindanishwa na Wasanii wengine sita.
Best International Viewers Choice Awards
- Rayvanny (Tanzania)
- Dave (UK)
- Amanda Black (SA)
- Changmo (South Korea)
- Daniel Caesar
- Remi
- Skip Marley
No comments:
Post a Comment