Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17
Serengeti Boys,imepangiwa mjini Libreville Gabon kuelekea fainali za
Afrika kwa vijana.
Serengeti Boys imepangwa kundi B pamoja na timu za Niger, Angola
na Mali ambako watafungua la michuano hiyo ya Mei 15, mwaka huu, Kwa
upande wa Kundi A lenye timu za Cameroon, Ghana, Guinea pamoja na
wenyeji Gabon itakuwa mjini Port Gentil.
Serengeti Boys ambao wapo Cameroon kwenye kambi ya wiki moja na
tayari imecheza na wenyeji Cameroon mchezo mmoja na kushinda bao
1-0,ambapo leo mei 03, 2017 ni marudiano kati ya vijana wetu wa serengeti boy
wanashuka dimbani kwenye mchezo wa marudiano wa kujipima wa kimataifa
dhidi ya timu ya vijana umri chini ya 17 ya cameroon,mchezo
utakaochezwa mjini younde.
SapulaMedia android app sasa inapatikana playstore: Kwa kupata Habari za karibu kuhusu:\\ Habari, Muziki na burudani,Michezo,Technolojia,Ujasiriamali ili kupakua bonyeza link --->>>
SapulaMedia android app sasa inapatikana playstore: Kwa kupata Habari za karibu kuhusu:\\ Habari, Muziki na burudani,Michezo,Technolojia,Ujasiriamali ili kupakua bonyeza link --->>>
No comments:
Post a Comment