Ndani
ya uwanja wa “Santiago Bernabeu” ambapo Real
Madrid
iliwakaribisha Atletico
Madrid katika
nusu fainali ya kwanza ya ya michuano ya UEFA mzee wa hat trick
akawapa watu burudani ya kipekee.
Hii
imejitokeza leo kwenye Ile derby iliyokuwa ikisubiriwa na kufuatiliwa
namacho na masikio ya wapenzi wa kabumbu duniani,imeishia patamu
baada ya real madrid kuwachabanga Atletico Madrid kwa jumla ya mabao
3-0
mabao
ambayo yamewekwa wavuni na christiano Ronaldo
ambaye ameonekana kuwa “man of the match” magoli
matatu (hat trick) hayo aliyafunga katika dakika ya 10',
73', 86' mchezo huo ulidumu kwa dakika tisini za kawaida na
nne za ziada lakini hazikuweza kuwasaidia Atletico kunusa nyavu za
real Madrid.
No comments:
Post a Comment