• DON'T MISS

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****
    RABA CLASSIC

    Tuesday, 2 May 2017

    Mbwana Ally Samatta nyota njema inayotung'arisha ughaibuni.

    Mbwana samatta ni mchezaji Mtanzania na nahodha wa timu ya taifa na mshambuliaji wa timu ya Genk ya nchini ubelgiji inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo.

    Kwa muda sasa kabla,kipindi cha mashindano ya mabingwa ulaya,na kwenye ligi ya ubelgiji kijana huyu ameonekana kuwa tishio pindi awapo uwanjani,hii imemfanya kujizolea mashabiki wengi na kuwa kivutio pindi timu yake inapozama dimbani.

    Shabiki mmoja alionekana na bango lililosomeka”SAMATTA 77 CAN I HAVE YOUR TSHIRT PLEASE ???.”

    Huu ni muendelezo mzuri na msimu poa kwake,ila jitihada zaidi zinahitajika ili kufikia malengo yake,na kuendelea kuwa balozi mzuri huko ughaibuni.
    >>>>Ifuatayo ni chati inayonesha uwezo wakijana huyu wa kitanzania

    MBWANA ALLY SAMATTA – MSIMU 2016-17
    LIGI ANAYOCHEZA
    TIMU
    MECHI
    MAGOLI
    PASI ILIYOZAA GOLI
    LIGI KUU UBELGIJI
    KRC Genk
    25
    10
    2
    LIGI YA MABINGWA ULAYA
    KRC Genk
    18
    5
    2






    No comments:

    Post a Comment