Kuonesha alichokifanya
msanii Diamond Platnumz kimeeleweka miongoni mwa watanzania,msanii wa kike
Rehema Chalamila”Ray C” ameandika kwenye akaunti yake ya instagram
yafuatayo>>>
“Rayctanzania”
Wakitokea wasanii wakubwa kama wewe na
wakawa na moyo kama wako basi muziki wetu utafika mbali sana...Kaa na huyu
kijana japo nusu Saa tu,utaelewa kwa nini nasema haya!!Kuna Ro!!!!Na kuna
RoHo!!!Jamaa ana Roho ya Peke Yake Maskini!!!!Na Mengi Moyoni natamani niongee
lakini Haya Yanatosha mdogo wangu!!Kumbuka Mwenye Hii Dunia alishasema ,Mtoaji
hupewa Zaidi na Zaidi...... Mungu akutangulie katika kila ufanyalo Inshallah......................
No comments:
Post a Comment