Ule mchezo wa nusu fainali ya kwanza UEFA Europa iliyowakutanisha "Man United vs Celta Vigo" pale uwanja wa nyumbani wa celta Vigo uwanja wa "Bailados", uliokuwa ukitupiwa macho na masikio ya mashabiki lukuki,ambao walikuwa wanasubiri kuona man ataishia wapi kwenye mchezo wake wa mei 04 dhidi ya celta vigo.
mchezo ulikuwa mkali wenye vuta nikuvute ambapo kila timu ilionekana kukamia timu nyingine,mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika hakuna timu iliyoona lango la mwenzake ambapo baada ya mapumziko na kuanza kwa kipindi cha pili kwenye dk 67 ndipo Rashford alipoiandikia united bao pekee katika mchezo huo.
Awali kabla ya mchezo huo kocha wa United " Mourinho" alinukuliwa akiwaambia waandishi wa habari"tumekuja kushinda mchezo wa leo" hakika aliyoyasema yametimia
mchezo ulikuwa mkali wenye vuta nikuvute ambapo kila timu ilionekana kukamia timu nyingine,mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika hakuna timu iliyoona lango la mwenzake ambapo baada ya mapumziko na kuanza kwa kipindi cha pili kwenye dk 67 ndipo Rashford alipoiandikia united bao pekee katika mchezo huo.
No comments:
Post a Comment