Leo May 4 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa maamuzi
kuhusu kesi iliyokuwa inawakabili wabunge Saed Kubenea, Halima Mdee,
Mwita Waitara pamoja na madiwani Manase Njema, Ephreim Kinyafu.ambao
walilalamikiwa kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Theresa Mmbando.
Mahakama hiyo imewaachia huru wabunge hao baada ya kuwaona hawana kesi ya kujibu.ambapo Hakimu Mkazi, Huruma Shaidi amesema katika ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka umeshindwa kuthibisha staka lake.

No comments:
Post a Comment