Rais
wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amefanya
ziara kwenye ofisi za Shirika la Utangazaji la taifa”TBC”
alipokwenda kuzungumza na viongozi wa shirika hilo pamoja na
wafanyakazi kwa nia ya kusikiliza kero zao na kujua changamoto
zinazowakabili.
Waziri
wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ndiye
aliyempokea Mh Rais Dkt John Pombe Magufuli alipofika kwenye ofisi
hizo zilizopo maeneo ya Mikocheni jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment