Rais wa
awamu ya nne wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete
ameendelea kutoa huduma kimataifa kwa kuteuliwa katika baraza kuu la
wakimbizi duniani WRC.akiwa ni miongoni mwa viongozi
watakaoshughulika na matatizo mbalimbali yanayowakabili wakimbizi na
kuyatatua.
Baraza hilo litahusika na mambo
mengi yanayowalenga na kuwahusu wakimbizi,kwa kuhakikisha wanatoa
ushauri katika kurekebisha na kuibua mifumo inayoweza kuwalinda
wakimbizi kote duniani.ili kuweka usawa wa uangalizi wa wakimbizi
katika kuzingatia haki,na usawa kote
Aidha
viongozi wengine watakaojumuika na Jakaya Mrisho Kkwete ni pamoja na hawa kwenye orodha:
:1.Chair Lloyd Axworthy (Canada)
2.Co chair Jakaya Mrisho Kikwete(Tanzania)
3.Co chair Hina Jilani(Pakistan)
4.Co chair Rita Sussmuth(Germany)
5.Deputy chair Paul Heinbecker
6.Director Fen Hampson
Baadhi Madiwani wa baraza WRC.
1.Ms Shaima al-Zarooni(UAE)
2.Dr Alexander Betts(UK)
3.Ms Nan Buzard(ICVA)
4.Ms Sarah Cliffe(US)
5.Ms Aya Chebbi(Tunisia)
6.Dr Jonathan Fanton(US)
7.Ms Leymah Gbowee(Liberia)
No comments:
Post a Comment