klabu
ya Arsenal yapata ushindi wa magoli 2-0 dhidi timu ya Sunderland, kwemye
mchezo uliochezwa pale uwanja wa Emirates,ambao umefufua matumaini ya
kumaliza ligi ndani ya timu nne bora za ligi kuu Uingereza ikiwa
nyuma ya liverpool kwa pointi moja.
Ambapo
Arsenal wana point 72 wakiwa nafasi ya 5 huku Klabu ya Liverpool
wakiwa kwenye nafasi ya nne,magoli ya Arsenal yamefungwa na mchezaji
Alexis Sanchez pekee.
Kwa
sasa ni ule wakati wa kumuombea adui njaa,kama ilivyo kwa “The
gunners” klabu ya Arsenal
dhidi ya Liverpool,ambapo wanatamani kwa michezo iliyosalia wapinzani
wapate majanga kwa kufungwa huku wao wakinyakua point 3 muhimu
zitakazowarudusha “top four”
No comments:
Post a Comment