Nikki wa Pili toka Weusi,ni mmoja
ya walioguswa na na harakati za mh Rais na amendika ujumbe unaoendana
na harakati hizo za Rais Dkt John Pombe Magufuli katika kupambana na
wizi wa mchanga wa dhahabu ambapo mei 24 2017 amepokea ripoti
ihusuyo mchakato wa wizi unaoendelea kwenye usafirishaji mchanga wa
dhahabu.
“Wapo Watanzania wanaopewa
dhamana, wasipo amua kuwa waadilifu,umaskini utaandika historia
tukufu kwa wa Tz, alafu kuha uhusiano gani kati ya uwekezaji na
ufisadi…. maana kila kasha, wizi mkubwa utamkuta mwekezaji na
wakala wake wa kitanzania (wasomi, viongozi, wafanya biashara”)…
“Yani ni kama ule uchumi wa
kikoloni manufaa nikwa makampuni ya nje na kitabaka cha watanzania
wachache…… nimpongeze mkuu wa nchi kwa kuamuwa kupambana na
ufisadi huu”…
“Ila vita ya kuvunja mfumo wa
kiuchumi wa kifisadi ni hatari.. kina lumumba, nkruma, sankara, huko
chile, nikaragwa, Venezuela, haiti, iran…. viongozi hawakupona…..
ni vita kuu… Mungu akusimamie” -Nikki wa Pili.
No comments:
Post a Comment