Timu ya
taifa ya Mali ya vijana chini ya umri wa miaka 17 imeendelea kufanya
vizuri ili kutetea Ubingwa wake wa AFCON U-17, kwa kuwachapa Guinea
kwenye michuano ya AFCON-U-17 inayoendelea nchini Gabon
Mali
ambao ndio mabingwa watetezi wa Kombe hilo wamefanikiwa kupata
ushindi kwenye penati kwa mabao 2 dhidiya Guinea,ambapo baada ya
dakika 90 kumalizika kwa sare ilifuatiwa na penati zilizomleta
mshindi wa mchezo huo.
Ushindi
huo wa mabingwa hawa watetezi unawafanya Mali kusubiri kucheza mchezo
wa fainali dhidi ya timu ya taifa ya Ghana Mei28 wakati Guinea
watacheza na Niger kutafuta mshindi wa tatu
No comments:
Post a Comment