Pale
uwanja wa “Friends Arena” nchini Sweden,palishuhudiwa ile fainali
iliyokuwa ikisubiriwa na watu wengi duniani kote kati ya Manchester
united ya uimgereza na ajax ya nchini uholanzi,ambapo Manchester
United waliupania mchezo huo ili kuweza kupata tiketi kucheza
champions league.
Chini
ya kocha Jose Mourinho Manchester United wamefanikiwa kuichapa Ajax
kwa goli 2-0,magoli yaliyofungwa na wachezaji Henrikh Mkhitaryan
pamoja na Paul Pogba ambaye ndiye mchezaji wa gharama kwa United
msimu huu.
Hivyo
Manchester united ndio mabingwa wa Europa 2016/17,na hakika wameweza
kufikia malengo waliyoyahitaji baada ya kukosa ubingwa wa ligi kuu ya
Uingereza kwa msimu huu.
Kocha akiwa amebebwa juu juu na watu wa benchi la ufundi,baada ya kunyakua ubingwa huo.Pogba akishangilia ushindi akiwa na kombe hilo.
No comments:
Post a Comment