Baadhi ya matukio katika picha
yaliyoleta huzuni kwa watanzania,baada ya Serengeti Boys kufungwa
kwenye mchezo wake dhidi ya Niger na kuyaaga mashindani ya AFCON U17.
Hapa ni picha ya kikosi cha Serengeti Boys u17,kilichoanza kuliwakilisha taifa la Tanzania kwenye mchezo huo wa AFCON kwa kundi B.
Hiki ni kikosi cha vijana wa niger u17,kilichofanikiwa kuiondoa serengeti boys kwenye michuano hiyo ya AFCON U17.
Mfungaji pekee wa mchezo wa Serengeti
boys vs Niger, "Marou" kwenye furaha ya goli aliloifungia timu yake.
Mshambuliaji wa serengeti boys , "Abdul Hamis Suleiman" katika
hekaheka za kutafuta goli kwenye mchezo huo.
No comments:
Post a Comment