Kwenye ligi kuu ya Uingereza timu ya Manchester City imepanda
hadi nafasi ya tatu baada ya kuichapa Leicester City 2-1.
Nayo timu ya Leicester ilipata bao lake kupitia kwa mlinzi wao "shinji Okazaki" baada ya kupenya ulinzi wa timu ya Manchester City.
Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Etihad ambapo Manchester
City walionekana kutawala mchezo huo kwa muda mwingi wa mchezo.Ambapo magoli ya Man
City yalifungwa na de Jesus kwa mkwaju wa penalti na Silva .
No comments:
Post a Comment