Klabu
ya Liverpool ya mjini london usiku wa mei mosi,iliambulia ushindi wa goli
1-0 dhidi ya Watford,mchezo waligi kuu ya uingereza ulipchezwa huku
liverpool wakiwa ugenini katika mchezo huo.
Katika
dakika 45
ya mchezo huo ndipo liverpool walipopata goli lao hilo pekee
lililofungwa naEmre
Cam,hii
inawapeleka liverpool hadi pointi 69 kwenye ligi hiyo.
Liverpool
kwa sasa wamesogea mpaka nafasi ya tatu karibu kabisa na vinara wa
ligi chelsea ambao wanafuatiwa na Tottenham Hotspurs huku Manchester
city na Manchester United wakikamata nafasi ya nne na tano kwa
msimamo wa sasa.
No comments:
Post a Comment