Juventus imetoa kipigo cha goli 2-1 dhidi ya Monaco,kwenye mchezo
wao walioucheza jana,ambapo pia kwenye mchezo wao wa awali
waliwachapa bao 2-0.
Mario Mandzukic kucheka na nyavu za Monaco dakika ya 33,na Dani
Alves ambaye anazidi kuwa bora kadri siku zinavyokwenda alifunga bao
la pili dakika ya 45.
Juventus inaingia fainali katika mashindano ya Europa Cup ,
ambapo kwa sasa Juventus wanasubiria mshindi wa mechi kati ya
Atletico Madrid watakaoikaribisha Real Madrid, na baada ya mchezo
huu fainali ya michuano hii itapigwa mjini Cardiff nchini Wales mwezi
ujao.
No comments:
Post a Comment