• DON'T MISS

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****
    RABA CLASSIC

    Wednesday, 10 May 2017

    Diamond Platnumz amkubali mbunge Joseph Haule maarufu kama Professor J.


    Diamond Platnumz aposti video kwenye tweeter akaunti yake inayomuonesha mbunge wa mikumi akitetea kipato cha msanii wa Tanzania na kuandika yafuatayo “Ndio Maana kwenye Jimbo lako sikuja kupiga kampeni bro…kwakuwa niliijua mapema thamani na umuhimu wa Uwepo wako kwenye hilo jengo”.

    Hii imekuja baada ya ishu ya msanii Diamond Platnumz kudaiwa kuwa anadaiwa kodi inayokadiriwa ni kiasi cha Tsh 400 milioni.
    Mbunge wa mikumi professor J aliongelea hili akisisitiza kuwa lazima serikali ione umuhimu wa kuwasaidia na kuwekeza kwenye kazi za muziki,na ndipo baadae waweze kupata faida ya uwekezaji wao.

    No comments:

    Post a Comment