Benpol ameamua kufunguka juu ya kile
kilichotokea kwa picha zinazosambaa kwenye mitandao,ya kijamii kuwa
aliamua kutoa ujumbe au taswira ya kutekwa zaidi.
Amesema kuwa kwa ujumla ni ujumbe wa
kuonesha au kuelezea hisia ya kutekwa katika uhalisia,kwani katika
uhalisia lazima,patokee mkanganyiko kama ilivyotokea kwenye mitandao
ya kijamii.kwani mtu akitekwa hana uhuru,usiri,wala haki.
Amesisitiza kuwa ni vyema watu
wakajifunza na kuelewa vizuri maana ya sanaa na msanii,amepata watu
wengi na comment tofauti ambao wamekuwa wakijiuliza juu ya
kinachotaka kujiri.na ndipo akaamua kuwa offline kwa muda na ili
aweze kutoa ufafanuzi wa kina watu wengi na mashabiki wote waliokuwa
na kiu kujua juu ya kile kilichotokea.
“Nina uhakika kuwa hakuna picha
yeyote inayoweza kutoka nikiwa mtupu kabisa lakini kwakuwa ile ni
sanaa,na maudhui ya project yangu mpya,na ile imefanyika studio
ambapo kulikuwa na watu zaidi ya 8,na nisingeweza kupigwa picha za
utupu kabisa, kwani pangeweza kutokea mtu hata wa kuirusha pindi
ambapo panatokea tofauti yeyote ndio maana watu wanaona picha
ikionekana kwa mfumo ule”,
No comments:
Post a Comment