Ambapo lilianza na shughuli za bunge kwenye mkutano wa saba,ambapo walianza na wizara ya ujenzi uchukuzi na mawasiliano waliwasilisha makadirio ya bajeti,wizara ya katiba na sheria iliwasilisha makadirio yake pia,
mbunge wa biharamuro magharibi aliuliza juu ya osca rwegasira mkasa,serikali ina mpango gani wa kuinua kundi la bodaboda au vijana wajasiriamali wadogo wadogo?.
"waziri amejibu kuwa vikundi vipatavyo 1940 vya wajasiriamali vimesajiriwa biharamuro,na kuwezesha bodaboda kuoata mafunzo ya uendeshaji salam na kupatiwa leseni".
mbunge ezekiel magorio maige ameuliza serilakali itafikisha lini maji kwenye vijiji 100 ambavyo viko mbali toka mradi wa maji ulioko km 12kutoka bomba la mradi unaotoka ziwa victoria mpaka kahama?
Mh Aisaki kamwerwe naibu wa wizara ya maji na umwagiliaji amejibu kwa kusema
"amejibu kuwa vijiji 13 tayari,na vijiji 32 vimefanyiwa usanifu na bilioni moja pointi tisa zimeshatumia na bado usanifu wa maeneo zaidi unaendelea"
No comments:
Post a Comment