• DON'T MISS

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****
    RABA CLASSIC

    Sunday, 23 April 2017

    Wakenya wafanya maajabu London Marathon.

    Wakenya “Mary Keitany na Daniel Wanjiru' watikisa na kuibuka kidedea kwenye mbio za London Marathon.

    Katika mbio za wanaume Daniel Wajiru wa Kenya ameshinda kwa muda wa 2:05:56 na raia wa Ethiopia “Kenenisa Bekele” amemaliza katika nafasi ya pili kwa muda wa 2:17:56


    kwenye mbio za wanawake “Mkenya Keitany” ameandikisha rekodi mpya ya mbio hizo za wanawake pekee za umbali mrefu au za nyika kwa muda wa 2:17:01,na kwake ni mara ya tatu sasa kunyakua tuzo hiyo.

    No comments:

    Post a Comment