April 5, 2017 Bunge limepiga kura kwenye mchakato wa kuwapitisha wawakilishi wa bunge la Afrika Mashariki ambapo wagombea saba ndio waliopitishwa kwa kupigiwa kura za ndio,na sita kati wagombea hao wakitokea Chama cha mapinduzi (CCM) na mmoja Chama cha wananchi CUF.
1. Fancy Nkuhi
2. Happiness Legiko
3. Maryam Ussi Yahya
4. Dkt Abdullah Makame
5. Dkt Ngwaru Maghembe
6. Alhaj Adam Kimbisa
7.Habib Mnyaa (CUF)
No comments:
Post a Comment