Kikao cha kamati ya masaa 72 kilichokaa jana Ijumaa 07/04/ 2017 kwenye ukumbi wa ofisi za shirikisho la Soka Tanzania (TFF),kujadili rufaa mbalimbali zilizowasilishwa kwenye kamati hiyo,kimemalizika Salama.
Mashabiki na wapenzi wa soka walio wengi kote nchini,wamekuwa wakisubiri kwa hamu majibu ya rufaa ya Simba dhidi ya Kagera sugar,waliyoilalamikia kumchezesha mchezaji “Mohamed Fakhi“ wakidai alicheza akiwa na kadi tatu za njano na hivyo Kagera sugar kukiuka taratibu na kanuni za ligi kuu ya Vodacom Tanzania.
Kamati
ya Masaa 72 imekuja na ufafanuzi kuwa Maamuzi ya rufaa ya Simba dhidi
ya mchezaji Mohamed Fakhi wa kagera sugar yatatolewa Alhamisi ya wiki Ijayo.
No comments:
Post a Comment