• DON'T MISS

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****
    RABA CLASSIC

    Saturday, 8 April 2017

    Mh.Nape Nnauye Apokelewa na umati wa wananchi jimboni kwake.


    Mbunge wa Mtama Lindi Mh.Nape Moses Nnauye amerudi jimboni kwake na kuzungumza na Wananchi kwa mara ya kwanza toka aondolewe kwenye baraza la Mawaziri alikokua akitumikia nafasi ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo.



    kama mbunge na kiongozi wa wananchi umati huu unampa nguvu zaidi ya kuwatumikia wananchi na taifa kwa ujumla,umati huo ulijitokeza leo na baadae aliongea na watu wake katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kiwalala mkoani LIndi..












    No comments:

    Post a Comment