Timu ya taifa ya vijana
wenye umri wa chini ya miaka 17,maarufu sana kama Serengeti
boys leo inashuka dimbani kuchuana na Timu ya vijana toka ghana
maarufu kama “Black Starlets” mchezo utakaofanyika pale uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam
Mchezo utachezwa kuanzia
majira ya saa 10:00 jioni,ambapo baada ya mchezo huo,Serengeti boys
wanatarajiwa kusafiri kwaajili ya kwenda kufanya maandalizi ya
fainali za kombe la mataifa ya Africa kwa vijana zitakazofanyikia
Gabon Mei 14 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment