Msanii
mkongwe wa muziki wa bongo fleva nchini”Rehema Chalamila aka Ray C”
amefunguka kuhusu ujio wake mpya baada ya misukosuko ya hapa na pale
kwenye maisha yake pamoja na ishu ya kusaini, Wasafi.Com ya Diamond
Platnumz.
Ambapo Muimbaji huyo ambaye ana mashabiki wengi amepambana kwa muda mrefu kutoka katika matumizi ya dawa za kulevya ambayo yalimsumbua kwa muda mrefu.
Ray C Alibainisha kwa haya “Kazi imeanza upya albamu ipo jikoni mpaka sasa hivi na nyimbo kama kumi,” “Nimependa kwa sababu nimekaa muda mrefu kimya bila kutoa kazi yoyote kwahiyo hiyo ni kama zawadi kwa mashabiki wangu. Lakini pia tumeanza na wimbo ‘Unanimaliza’ na umepokelewa vizuri sana na mashabiki”
“Na amekuwa karibu na Diamond
na kwamba amesaini kufanya kazi na Wasafi.com na ili kazi zake zote
ziwe zinauzwa kupitia kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment