Rais
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,anasubiri ripoti inayobainisha
watumishi wote wenye vyeti feki ili aweze kuwashughulikia,na atapata
ripoti toka kwa waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki
Taarifa
hiyo kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Naibu Mkurugenzi wa
Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Jaffar Haniu imesema ndiye atawasilisha
taarifa hiyo kwa Rais.
Aidha
Serikali imejipanga kuwashughulikia wale wote watakaobainika kuwa na
vyeti feki,ambapo zoezi hilo la kufuatilia wenye vyeti feki
lilifanywa naserikali,hasa kwa watumishi wote wa umma na lilianza
mwezi oktoba mwaka jana 2016.
No comments:
Post a Comment