Ule
mpambano mkubwa uliofanyika kwenye uwanja wa nyumbani wa Manchester
City ambapo klabu hiyo iliwakaribisha majirani zao wa Manchester
United.
Mechi
hiyo ambayo iliyovuta hisia za mashabiki wengi wa soka duniani na
ilikuwa ikichukuliwa kama vita ya makocha Jose Mourinho na Pep
Gurdiola,Mchezo ulikuwa presha ya pande zote mbili japokuwa kadri
muda ulivyokuwa unazidi kwenda Manchester United walionekana
kuzidiwa.
lakini
walinzi wa United walisimama imara waliokuwa huku wakiongozwa na Eric
Bailly kwani walionekana kuzuia mashambulizi yaliyokuwa yakiletwa
langoni mwao.Dakika ya 84 Marouane Fellaini alipewa kadi nyekundu
baada ya kumchezea rafu Kun Aguero.
Mpaka
dk 90 zinamalizika na hata muda wa ziada hakuna mbabe aliyepatikana.
No comments:
Post a Comment