Navy Kenzo ni moja kati ya
makundi ya muziki wa Bongofleva yanayofanya vizuri ndani ya nchi,
Afrika kwa ujumla na hata sehemu mbalombali duniani, kundi hili
linaundwa na mastaa wawili wa Tanzania "Nahreel na Aika"ambao
wamezitikisa anga za muziki nje ya mipaka ya Tanzania.
Navy Kenzo ni moja ya kundi ambalo linasimamia misingi yake,kwa kuamini wanachokifanya Leo 13/04/ 2017 ni siku ambayo kundi hilo limeingia nchini Israel kwa ajili ya kufanya show pamoja na kuitangaza album yao mpya ”AIM (Above Inna Minute)”.
No comments:
Post a Comment