• DON'T MISS

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****

    *****ADVERTISE HERE WITH US*****
    RABA CLASSIC

    Sunday, 2 April 2017

    Mchezo wa arsenal vs Man City umemalizika kwa sare ya 2-2



    Leo siku ya jumapili tar.02/04/2017 Ligi Kuu England imeendelea kama ilivyo ada ,na mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa shauku na mashabiki wengi ni kati ya Arsenal dhidi ya Man City ndio mchezo uliovuta hisia za watazamaji wengi na mashabiki wa EPL, Man City walikuwa ugenini katika uwanja wa nyumbani wa Arsenal pale Emirates.


    Mchezo ulikuwa mkali,naArsenal wamejikuta wakiambulia sare kwenye mchezo huo kwa kufungana goli 2-2, magoli ya Arsenal yakifungwa na Theo Walcott dakika ya 40 baada ya Leroy Sane kuifungia Man City goli la kuongoza dakika ya 5 na Sergio Aguero akapachika goli la pili ambalo lilisawazishwa na Shkodran Mustafi dakika ya 54. 

    No comments:

    Post a Comment