
April 20 2017 michuano ya robo fainali ya “UEFA Europa League” iliendelea kwa michezo ya marudiano ya robo fainali kuchezwa, timu ya KRC Genk anayoichezea Mbwana Samatta ilicheza mchezo wake wa marudiano dhidi ya Celta Vigo katika uwanja wake wa nyumbani.
Mchezo huo wa KRC Genk dhidi ya
Celta Vigo ulikuwa ni mchezo ambao KRC Genk walitakiwa mtiha kuvunja
rekodi ya Celta Vigo yakutowahi kufungwa na timu za Ubelgiji katika
mashindano ya”UEFA Europa League” lingawaje kwao ni mara ya
kwanza Genk na Celta Vigo kukutana.
No comments:
Post a Comment